Viatu hivi ni Loafers brand ya Aldo , ni viatu vya ngozi vyenye rangi ya kahawia na nyeusi yenye mng’ao inafanya viwe bora kwa mavazi smart casual yaani mavazi safi ila ya mtaani. Hivi viatu vinaweza kuvaliwa na suti isiyo rasmi, chinos [kadeti], au trousers za kitambaa kwa muonekano wa kipekee wa mwanaume wa hadhi kama mtawala.
Kiatu hiki utakipata kwa bei iliyotajwa hapo juu na maelezo yake ya kina ya jinsi ya kukivaa kiatu hiki yapo kwenye masomo ya kuvaa kitawala pale chimbo la madini hekimazamzeeshawa.com. Ha kikisha una jua saizi yako kabla hujaagiza kiatu hiki.
Muda : ukiagiza kiatu hiki utakipata popote pale ulipo lakini muda wakawaida kabisa ni wiki moja mpaka kiatu hiki kikufikie kwasababu ya sheria na taratibu za soko hili ambapo ni lazima Baba Paroko/Prof.Shawa/Godfather akague kwanza mzigo wako yeye mwenyewe ili kuhakikisha ubora wa jaketi hii kwako mtawala kabla haujatumiwa mzigo wako ndani ya Dar au nje ya Dar yaani mikoani. Usiagize kiatu hiki wala bidhaa yoyote kutoka hapa kwenye kabati kama una haraka yani huwezi kusubiri ndani ya wiki moja mpaka kukipata kiatu hiki.
Gharama za usafiri : gharama za usafiri ni juu yako mteja utatajiwa mara baada ya kusema mahari ulipo.
Weka order yako sasa.
NAMBA ZA MALIPO;
M-PESA – 0745920220 JINA PROSPER SHAWA
HALOPESA – 0623703376 JINA PROSPER SHAWA










Reviews
There are no reviews yet.