Sale!

BLACK LEATHER JACKET

Original price was: Sh50,000.00.Current price is: Sh45,000.00.

Category:

Jaketi iliyo kwenye picha ni jaketi nyeusi ya ngozi bandia au PU leather isiyo na   hood. Ina zip mbele, mikono yenye mpindo, na muundo wa kisasa wenye mifuko ya kifua na ushonaji wa kipekee. Mtindo huu wa jaketi mara nyingi hujulikana kama “jaketi la baiskeli ya ngozi” au “jaketi la ngozi bandi .” Linachanganya vipengele vya jaketi za ngozi pekee, likitoa mwonekano wa mtindo lakini wenye nguvu yaani mamlaka makubwa kwa mvaaji. Jaketi hii huvaliwa sana na wanaume watawala kama ishara ya mamlaka yao waliyonayo na kuwa na uwepo wenye usiri na kuamrisha mahali waendapo.

Jaketi hii utaipata kwa bei iliyoatajwa hapo juu na maelezo yake ya kina ya jinsi ya kuivaa jaketi hii, viatu na hata nguo zake zakuvalia jaketi hii ili kukamilisha muonekano wako wakitawala utayapata kwenye kipindi cha mitindo ya maisha ya watawala kinachorushwa kwenye website ya hekimazamzeeshawa.com. Ha kikisha una jua saizi yako kabla hujaagiza jaketi hii.

Muda : ukiagiza jaketi hii utaipata popote pale ulipo lakini muda wakawaida kabisa ni wiki moja mpaka jaketi hii ikufikie kwasababu ya sheria na taratibu za soko hili ambapo ni lazima Baba Paroko/Prof.Shawa afike dukani na kuukagua mzigo wako kuhakikisha ubora wa jaketi hii kwako mtawala kabla haujatumiwa mzigo wako. Usiagize jaketi hii kama una haraka yani huwezi kusubiri ndani ya wiki moja mpaka kuipata jaketi hii.

Gharama za usafiri : gharama za usafiri ni juu yako mteja utatajiwa mara baada ya kusema mahari ulipo.

Weka order yako sasa.

NAMBA ZA MALIPO;

M-PESA – 0745920220 JINA PROSPER SHAWA

HALOPESA – 0623703376 JINA PROSPER SHAWA

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “BLACK LEATHER JACKET”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top