Sale!

Brogues (Wingtip) Oxfords – Ngozi Halisi

Original price was: Sh180,000.00.Current price is: Sh155,000.00.

Category:

Hizi ni Full Brogues (Wingtip) oxfords, viatu vya ngozi vyenye muundo wa mapambo ya kuchongwa (perforations) kwenye seams na toe cap. Rangi yake ya kahawia yenye mng’ao inafanya viwe bora kwa mavazi rasmi na smart casual yaani mavazi safi ila ya mtaani. Hivi viatu vinaweza kuvaliwa na suti, chinos [kadeti], au trousers za kitambaa kwa muonekano wa kipekee wa mwanaume wa hadhi kama mtawala.

Kiatu hiki utakipata kwa bei iliyotajwa hapo juu na maelezo yake ya kina ya jinsi ya kukivaa kiatu hiki yapo kwenye masomo ya kuvaa kitawala pale chimbo la madini hekimazamzeeshawa.com.  Ha kikisha una jua saizi yako kabla hujaagiza kiatu hiki.

Muda : ukiagiza kiatu hiki utakipata popote pale ulipo lakini muda wakawaida kabisa ni wiki moja mpaka kiatu hiki kikufikie kwasababu ya sheria na taratibu za soko hili ambapo ni lazima Baba Paroko/Prof.Shawa/Godfather akague kwanza mzigo wako yeye mwenyewe ili kuhakikisha ubora wa jaketi hii kwako mtawala kabla haujatumiwa mzigo wako ndani ya Dar au nje ya Dar yaani mikoani. Usiagize kiatu hiki wala bidhaa yoyote kutoka hapa kwenye kabati kama una haraka yani huwezi kusubiri ndani ya wiki moja mpaka kukipata kiatu hiki.

Gharama za usafiri : gharama za usafiri ni juu yako mteja utatajiwa mara baada ya kusema mahari ulipo.

Weka order yako sasa.

NAMBA ZA MALIPO;

M-PESA – 0745920220 JINA PROSPER SHAWA

HALOPESA – 0623703376 JINA PROSPER SHAWA

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Brogues (Wingtip) Oxfords – Ngozi Halisi”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top