Nguo hii inaitwa Cargo Vest, ni nzito imara sana isyopitwa na wakati iliyopo kwenye rangi mbili kakhi na kijani nzito ni nguo ambavyo ni bora kwa mishe mishe mtaani katika muonekano wako wakigumu au kwenda nayo kwenye kazi ngumu kama mwanaume mtawala. Nguo hii unaweza kuivaa na jinsi ya rangi yoyote ya kitawala au Cargo pant au suruali yoyote ngumu yakijeshi kwa muonekano wa kigumu na kutotaka utani mbele yako wewe kama mwanaume mtawala.
Nguo hii utaipata kwa bei iliyotajwa hapo juu na maelezo yake ya kina ya jinsi ya kuivaa nguo hii yapo kwenye masomo ya kuvaa kitawala pale chimbo la madini hekimazamzeeshawa.com. Ha kikisha una jua saizi yako kabla hujaagiza kiatu hiki.
Muda : ukiagiza nguo hii utaipata popote pale ulipo lakini muda wakawaida kabisa ni wiki moja mpaka nguo hii ikufikie kwasababu ya sheria na taratibu za soko hili ambapo ni lazima Baba Paroko/Prof.Shawa/Godfather akague kwanza mzigo wako yeye mwenyewe ili kuhakikisha ubora wa jaketi hii kwako mtawala kabla haujatumiwa mzigo wako ndani ya Dar au nje ya Dar yaani mikoani. Usiagize kiatu hiki wala bidhaa yoyote kutoka hapa kwenye kabati kama una haraka yani huwezi kusubiri ndani ya wiki moja mpaka kukipata kiatu hiki.
Gharama za usafiri : gharama za usafiri ni juu yako mteja utatajiwa mara baada ya kusema mahari ulipo.
Weka order yako sasa.
NAMBA ZA MALIPO;
M-PESA – 0745920220 JINA PROSPER SHAWA
HALOPESA – 0623703376 JINA PROSPER SHAWA









Reviews
There are no reviews yet.