Sale!

POEDAGAR WATCH

Original price was: Sh80,000.00.Current price is: Sh70,000.00.

Category:

Saa hii utaipata kwa bei iliyoatajwa hapo juu na maelezo yake ya kina ya jinsi ya kuivaa saa hii, viatu na hata nguo zake zakuvalia saa hii ili kukamilisha muonekano wako wakitawala utayapata kwenye kipindi cha mitindo ya maisha ya watawala kinachorushwa kwenye website ya hekimazamzeeshawa.com chimbo la madini.

Muda : ukiagiza saa hii utaipata popote pale ulipo lakini muda wakawaida kabisa ni wiki moja mpaka jaketi hii ikufikie kwasababu ya sheria na taratibu za soko hili ambapo ni lazima Baba Paroko/Prof.Shawa afike dukani na kuukagua mzigo wako kuhakikisha ubora wa jaketi hii kwako mtawala kabla haujatumiwa mzigo wako. Usiagize jaketi hii kama una haraka yani huwezi kusubiri ndani ya wiki moja mpaka kuipata jaketi hii.

Gharama za usafiri : gharama za usafiri ni juu yako mteja utatajiwa mara baada ya kusema mahari ulipo.

Weka order yako sasa.

NAMBA ZA MALIPO;

M-PESA – 0745920220 JINA PROSPER SHAWA

HALOPESA – 0623703376 JINA PROSPER SHAWA

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “POEDAGAR WATCH”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top